Wednesday, January 30, 2013

KIWANDA CHA CHEMICOTEX KILICHOPO MBEZI BEACH , CHAWAKA MOTO


HIVI NDIVYO KIWANDA KILIVYO KUWA KIKIWAKA MOTO.

MOTO ULIO CHUKUA DAKIKA  AROBAINI NA TANO UMETEKETEZA KIWANDA CHA CHEMICOTEX KILICHOPO  MBEZI BEACH, HATA HIVYO JUHUDI ZA KUZIMA MOTO ZILIFANYIKA MAPEMA AMBAPO MAGARI ZA ZIMA MOTO ZAIDI YA MANNE YALIFIKA ENEO HILO NA KUZIMA MOTO HUO. 
MPAKA SASA HAIJAJULIKANA NI HASARA KIASI GANI IMETOKEA WALA HAKUNA CHANZO KILICHO TAJWA CHA MOTO HUO.



No comments:

Post a Comment