Monday, January 7, 2013

VYAMA VYA SIASA VYAPELEKA MAONI YA KATIBA MPYA KWENYE TUME YA MABADILIKO YA KATIBA

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) wakiongozwa na Mwenyekiti wao Prof. Ibrahim Lipumba mara baada ya chama hicho kuwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume jijini Dar es Salaam leo.



 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akifafanua jambo kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya wananchi kwa viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) waliofika katika ofisi za Tume kuwasilisha maoni ya chama hicho kuhusu Katiba Mpya leo. Viongozi hao pia walipata fursa ya kutembelea Kitengo cha Taarifa Rasmi (Hansard) na Kitengo cha Utafiti. Kulia kwa Mwenyekiti ni Katibu wa Tume Assaa Rashid na kushoto ni Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba.

No comments:

Post a Comment