Friday, January 25, 2013

ZA MWIZI NI FOTE,, JAMAA AMEKWAPUA SIMU YA KICHINA NUSURA AUAWE

Wananchi wenye hasira kali wakimshambulia kijana ambaye jina lake halikuweza kutambulika kwa urahisi baada ya kukwapua simu ya Mwanamama aliyefahamika kwa Jina la Mama Munna wakati alipokuwa kwenye Dala Dala maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam.

Aliomba samahani lakini wapi,,

Hawa ndio tabia zao hawa lazima wajifunze
Baadaye alipelekwa kwenye kituo cha polisi kilichopo maeneo hayo.

No comments:

Post a Comment