Thursday, May 9, 2013

FAHAMU KUHUSU KUREJEA KENYA KWA MSANII NAZIZ


Mmoja wa wanamuziki wanaounda kundi la NECESSARY NOIZE, mwanadada NAZIZI amerejea jijini NAIROBI ...
NAZIZI ambae alikuwa akiishi LAMU kwa muda wa miaka miwili sasa amerejea katika mji mkuu wa KENYA kujiunga tena na kundi lake kuendelea kufanya muziki ...
NAZIZI amerejea kufanya muziki zaidi na amewataka fans wake wakae tayari kwani watamuona zaidi ... Akaongeza kuwa, mbali na kufanya kazi na WYRE as in NECESSARY NOISE pia wataendelea kufanya kazi zao binafsi ...
NAZIZI is BACK !!! Stay Tuned ...gongamix.com

No comments:

Post a Comment