Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Afya
na Sayansi Shirikishi Muhimbili Prof. Ephata Kaaya Cheti cha Udaktari
wa Public Health (Honoris Causa), kufuatia Shahada aliyotunukiwa na Chuo
hicho mwaka 2010 kwa Kutambua mchango wa Rais Kikwete katika
kuendeleza Sekta ya Afya nchini. Sherehe hiyo fupi ilifanyika leo
Novermba 23, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
(Picha na ikulu)
Makamu
Mkuu wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili Prof. Ephata
Kaaya akisoma risala kabla ya kumkabidhi Rais Kikwete Cheti cha Udaktari
wa Public Health (Honoris Causa), kufuatia Shahada aliyotunukiwa na
Chuo Desemba mwaka 2010 kwa Kutambua mchango wa Rais Kikwete katika
kuendeleza Sekta ya Afya nchini leo Novermba 23, 2012 Ikulu jijini Dar
es salaam..
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na na viongozi wa Chuo
cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili baada ya kukabidhiwa cheti
chake leo Novermba 23, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na Waziri wa Ardhi
Prof Anna Tibaijuka, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein
Mwinyi na viongozi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi
Muhimbili baada ya kukabidhiwa Cheti cha Udaktari wa Public Health
(Honoris Causa), kufuatia Shahada aliyotunukiwa na Chuo hicho mwaka
2010 kwa Kutambua mchango wa Rais Kikwete katika kuendeleza Sekta ya
Afya nchini leo Novermba 23, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment