Baadhi ya wataalamu toka mamlaka ya mawasiliano Tanzania wakiwa katika kupima kiwango cha mionizi ya minara ya mawasiliano mkoani Mbeya hapa ni eneo la ofisi za jiji la mbeya |
Hii siyo Mic yaani cha kusemea bali ni moja ya vifaa vya kupimia mionzi ya minara ya mawasiliano hapa nchini |
Meneja
wa
Mipango na Utafiti wa TCRA, Dk. Ali Simba. akiongea na mbeya yetu juu
ya umuhimu wa kifaa hicho cha kupimia mionzi ya minara ya mawasiliao
Picha na Mbeya yetu
|
No comments:
Post a Comment