RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungmza na Uongozi wa Wizara ya
Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,kupitia utekelezaji wa kazi za
Wizara hiyo mkutano uliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo,ikiwa ni
muendelezo wa kufuatilia utendaji kwa taasisi za Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Watendaji katika Idara mbali mbali za Wizara ya
Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,wakiwa katika Mkutano wa Wizara
hiyo na Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,ambapo kila Wizara ya
Serikali hufanya mkutano kama huo wa kupitia utendaji kazi kwa Wizara
husika kwa kipindi cha Miezi mitatu,Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment