Mbunge wa Viti maalum Chadema Mh,
Filipa Mturano akiwa akiuliza swali kuhusu namna ya kuchanganya
Kemikali kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Magnus ambao
walikuwa wanasherehekea Mahafali yao ya Tano leo ambao idadi yao ni
wanafunzi 75 wavulana 30 na wasichana 45. Mturano alikuwa Mgeni rasmi
katika Mahafali hayo ambapo aliahidi kuwatafutia wafadhili wa kusaidia
maendeleo katika Shule hiyo yenye changamoto ya ukosefu wa Vitendea
kazi katika Chumba cha Computer (Tehama) pamoja na Kukosekana kwa Uzio
inayopelekea wanafunzi wengi kutoroka Shule pamoja na Udogo wa Mabweni
hasa kwa Wavulana. |
No comments:
Post a Comment