Rais
wa chama cha Riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka ambaye ni mkuu wa
wilaya ya Mvomero akikabidhiwa mpango mkakati wa riadha kuelekea kwenye
olympiki ijayo ya mwaka 2016 na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho,
Utawala, William Kallaghe ambayo itafanyika Rio De Janeiro nchini Brazil katika
hafla iliyofanyika mara baada ya kumalizika kwa kikao cha kamati ya
utendaji kituo cha michezo cha Highlands Kigurunyembe mkoani Morogoro.
kulia ni Katibu wa Riadha Tanzania. Mujaya Nyambui na kushoto ni Mhazini
wa chama hicho, Suleiman Ishigue.
MORPGORO, Tanzania
SHIRIKISHO
la Riadha Tanzania limezindua MPANGO mkakati wake wa miaka MItano
kuelezea mashindano ya olympiki Yatakayofnyika Brazil rep de jenerio
2016 .
MPANGO
huo ulikabidhiwa kwa Rais wa RT, Anthony Mtaka, mara baada kumalizika
kwa Kikao cha Kamati ya utendaji ya RT, katikA kituo cha Michezo cha the
highlands mjini Morogoro juzi.
Akizungumzia mkakati huo, Rais wa RT Mtaka akisema mpango huo unalenga
la kuiwezesha Tanzania kushiriki kikamilifu na kwa mafanikio makubwa
ukilinganishwa na miaka mingine.
Mango huu umenena katika kuwezesha Tanzania kushirki kikamilifu katika
mashindano mbalimbali ikiwemo all Africa game hadi Olympic ya rio de
janeiro.
Kupiti Mango huo, program mbalimbali za kuandaa wachezaji wenye umri
tofauti kushiriki mashindano mbalimbali ya kimataifa kuelezea kimataifa.
Mbali na Mpango Mkakati huo bali na mpango mkakati huo, pia kikao hicho kilipitia rasimu ya katiba mpya ya chama jicho.
Pia Kikao hicho kiliitisha kufanyia kwa mashindano ya MNYIKA ya Taifa, Yatakayofnyika machi 10 mjini Morogoro.
Mashindano hayo yatatumika pia kuchangia timu ya Taifa itakayoshiriki mashindano ya dunia Huko machi 24huko Poland.
Kingine kilichopitishwa ni kalenda ya Mwaka ya RTt ambayo inatarajiwa kjutumwa mikoani kwa ajili ya utkelezaji.
No comments:
Post a Comment