Mkurugenzi
Mtendaji,
wa wateja
binansi na wajasiliamali wa Ecobank Africa, Patrick Akinwuntan (katikati)
akiwa
pamoja na maofisa wengine wa benki hiyo wakielekea kwenye warsha
iliyofanyika
Hoteli ya Serena Dar es Salaam Januari 31 2013.(Na Mpiga Picha Wetu)
Mkurugenzi
Mtendaji, wa wateja
binansi na wajasiliamali wa Ecobank Africa, Patrick Akinwuntan (katikati)
akisisitiza jambo katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam
Januari
31, alipoongea nao kuhusu upatikanaji wa huduma za kibenki bila kufika matawini nchini Tanzania
Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki hiyo nchini, Enoch Osei-Safo na Mkuu wa Wateja wa binafsi
na Wajasiriamali wa benki hiyo, Joyce Malei.
Mshauri
wa maswala ya mahusiano wa
Ecobank Daisy Mumbi akiwatambusha wakurugenzi kwa waandishi wa habari
kabla ya
kuanza kwa mkutano na waandishi wa habari.
No comments:
Post a Comment